Kilimo cha afyuni nchini Afghanistan chashamiri licha ya marufuku
Nchini Afghanistan, kilimo cha afyuni, zao litumikalo kutengeneza dawa za kulevya, kwa mwaka huu wa 2024 kimeongezeka kwa asilimia 19, zao hilo likilimwa katika eneo la ukubwa wa ekari 12,800, imesema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo.