Mnjegere-kubwa
Mandhari
Mnjegere-kubwa (Cicer arietinum) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mnjegere-kubwa wenye maua na makaka
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mnjegere-kubwa (jina la kisayansi: Cicer arietinum) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaopandwa katika maeneo ya tabianchi yabisi na ya joto.
Mbegu zake huitwa njegere kubwa na hupatikana katika makaka.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ua
-
Makaka mabichi
-
Makaka mabivu
-
Njegere kubwa
-
Cicer arietinum noir - Museum specimen
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnjegere-kubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |