Ushindi
Mandhari
Ushindi (kutoka kitenzi kushinda, yaani kubaki; kwa Kiingereza: victory) ni neno linalomaanisha kufanikiwa au kufaulu katika matukio kama vile majaribu, mitihani, kesi, mapigano au mechi.
Katika Ukristo
[hariri | hariri chanzo]Katika Ukristo ushindi mkuu ni ule alioupata Yesu kwa ajili ya watu wote dhidi ya mauti kwa kufufuka kwake.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |