Ninmyo wa Japani
Mandhari
Ninmyo (27 Septemba, 808 – 6 Mei, 850) alikuwa mfalme mkuu wa 54 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Masara, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Saga. Mwaka wa 833 alimfuata mjomba wake, Tenno Junna, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Montoku.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ninmyo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |