Nenda kwa yaliyomo

Mtutuzeli Matshoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtutuzeli Matshoba (amezaliwa 1950) ni mwandishi na mfasiri wa Afrika Kusini. Aliandika maandishi mafupifupi. Mwaka wa 1981 alipata Tuzo ya Thomas Pringle kwa ajili ya kazi yake ya Kiingereza katika elimu.

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  • Call me not a man (hadithi, 1979)
  • Seeds of War (tamthiliya, 1981)

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtutuzeli Matshoba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.