Kingadjuri
Mandhari
Kingadjuri kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wangadjuri katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kingadjuri ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingadjuri kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kingadjuri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kingadjuri Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kingadjuri katika Glottolog
- lugha ya Kingadjuri katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingadjuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |