Kiminriq
Mandhari
Kiminriq ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Waminriq. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiminriq imehesabiwa kuwa watu 270 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiminriq iko katika kundi la Kiaslian.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiminriq kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiminriq Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiminriq katika Glottolog
- lugha ya Kiminriq kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiminriq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |