Nenda kwa yaliyomo

Emmanuel Eseme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emmanuel Eseme

Emmanuel Eseme (alizaliwa Agosti 1993)[1] ni mwanariadha wa Kamerun. Mwaka 2019, alishindana kwenye mbio za wanaume za mita 200 kwenye michuano ya riadha duniani mwaka 2019 iliyofanyika Doha, Qatar[1]. Hakuwa na vigezo vya kushiriki nusu fainali.[1]

Mwaka huohuo, alishindana pia kwenye mita 200 kwa wanaume na mita 4x400 za kujirudia kwa wanaume kwenye tukio la michezo ya Afrika mwaka 2019, kwa pande zote mbili hakushinda medali.[2]

Aliiwakilisha kameruni kwenye olimpiki ya majira ya joto nchini Tokyo, Japan katika tukio la mita 400 kwa wanaume .

  1. 1.0 1.1 1.2 https://media.aws.iaaf.org/competitiondocuments/pdf/6033/AT-200-M-h----.RS4.pdf (PDF) from the original on 30 September 2019. Retrieved 6 July 2020
  2. "Companion September 2019: full issue PDF". BSAVA Companion. 2019 (9): 1–39. 2019-09-01. doi:10.22233/20412495.0919.1. ISSN 2041-2487.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Eseme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.