7 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Julai ni siku ya 188 ya mwaka (ya 189 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 177.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1294 - Uchaguzi wa Papa Celestino V
- 1954 - Chama cha TANU kimeanzishwa huko Tanganyika
- 1990 - Maandamano nchini Kenya ambako wanasiasa wa upinzani na watu wengi wanadai mwisho wa utawala wa chama kimoja na kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1053 - Shirakawa, mfalme mkuu wa Japani (1073-1087)
- 1119 - Sutoku, mfalme mkuu wa Japani (1123-1142)
- 1844 - Camillo Golgi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906
- 1860 - Gustav Mahler, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1949 - Shelley Duvall, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1968 - Danny Jacobs, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1976 - Hamish Linklater, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1982 - Cassidy, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 574 - Papa Yohane III
- 1304 - Mwenye heri Papa Benedikto XI
- 1900 - Mtakatifu Antonino Fantosati, Mfransisko askofu Mkatoliki na mfiadini nchini Uchina
- 1900 - Mtakatifu Yosefu Maria Gambaro, Mfransisko padri na mmisionari mfiadini nchini Uchina
- 1968 - Leo Sowerby, mtunzi wa muziki Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1946
- 1984 - George Oppen, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]- Kwa jina la "Sabasaba" ni sikukuu nchini Tanzania ambako kuundwa kwa chama cha TANU kunaadhimishwa
- Siku ya Kiswahili Duniani
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Panteno, Edilburga, Edda wa Winchester, Wilibaldi, Mael Ruain, Odo wa Urgell, Antonino Fantosati, Yosefu Maria Gambaro, Marko Ji Tianxiang, Maria Guo Lizhi n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |