Kuala Lumpur
Mandhari
Jiji la Kuala Lumpur | |
Nchi | Malaysia |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1 453 978 |
Tovuti: www.kualalumpur.gov.my |
Kuala Lumpur (Jawi:كوالا لمڤور) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Malaysia. Eneo lake ni km² 243.65 na idadi ya wakazi 1,453,978 (mwaka 2005).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Kuala Lumpur iko km 35 kutoka pwani la magharibi la rasi ya Malay mahali panapoungana mito ya Gombak na Klang kwenye 3° 09' 35" N 101° 42' 12" O3° 09' 35" N 101° 42' 12" O.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- DBKL Archived 20 Machi 2011 at the Wayback Machine.
- Kuala Lumpur maps
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kuala Lumpur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |