Nenda kwa yaliyomo

kifua

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
picha ya mfano wa kifua cha binadamu.

Nomino

[hariri]

kifua ki-vi (wingi vifua)

  1. sehemu ya mbele ya mwili katikati ya tumbo na shingo

Makufanana

[hariri]

Tafsiri

[hariri]