1519
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 15 |
Karne ya 16
| Karne ya 17
| ►
◄ |
Miaka ya 1480 |
Miaka ya 1490 |
Miaka ya 1500 |
Miaka ya 1510
| Miaka ya 1520
| Miaka ya 1530
| Miaka ya 1540
| ►
◄◄ |
◄ |
1515 |
1516 |
1517 |
1518 |
1519
| 1520
| 1521
| 1522
| 1523
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1519 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 4 Machi - Hernan Cortes anafika Mexiko.
- 28 Juni - Mfalme Carlos I wa Hispania amekuwa Kaisari wa Dola Takatifu la Roma akitawala kama Karolo V hadi 1556.
- 4 Julai - Martin Luther anapinga mamlaka ya Papa katika majadiliano yake na Yohane Eck mjini Leipzig (Ujerumani)
- 8 Novemba - Hernan Cortez anafika Tenochtitlan (Mexiko) akipokelewa kama mungu. Atachoma mji na kuijenga upya kama Mji wa Mexiko.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
hariri- 12 Januari - Kaisari Maximilian I wa Ujerumani
- 2 Mei - Leonardo da Vinci, mchoraji na mwanasayansi kutoka Italia
Wikimedia Commons ina media kuhusu: