Kuma
Mandhari
Kuma (pia: uke) ni kiungo cha kike kilicho na matumizi kadha wa kadha, mojawapo ikiwa ufunguzi wa kupitishia mkojo, kiungo cha uzazi na halikadhalika kiungo cha ngono. Kiungo hicho kina uwezo wa kujisafisha kwa njia ya bakteria wake[1].
Tanbihi
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kuma kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |