1866
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| ►
◄◄ |
◄ |
1862 |
1863 |
1864 |
1865 |
1866
| 1867
| 1868
| 1869
| 1870
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1866 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 8 Juni - Bunge la Kanada linafanyika mara ya kwanza katika mji wa Ottawa.
- 14 Juni hadi 23 Agosti 1866 - Vita ya Kijerumani, mwisho wa shirikisho la Ujerumani, Prussia inashinda Austria na kuchukua uongozi ndani ya Ujerumani
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 15 Januari - Nathan Söderblom (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930)
- 29 Januari - Romain Rolland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1915)
- 11 Machi - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 12 Agosti - Jacinto Benavente (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1922)
- 21 Septemba - Charles Nicolle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928)
- 25 Septemba - Thomas Hunt Morgan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1933)
- 12 Desemba - Alfred Werner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913)
Waliofariki
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: