Roza Rymbayeva
Roza Kwanyshevna Rymbayeva (alizaliwa tar. 28 Oktoba 1957) ni mwimbaji wa muziki wa Kikazaki na Kirusi kutoka nchini Kazakistani.
Roza Rymbayeva | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Roza Kwanyshevna Rymbayeva |
Amezaliwa | Jangiz-Tobe, Mkoa wa Semipalatinsky, Kazakistani | 28 Oktoba 1957
Aina ya muziki | Pop ya Kikazaki |
Kazi yake | Mwimbaji, mwigizaji |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1976–hadi leo |
Ame/Wameshirikiana na | Sergey Penkin, Batyrkhan Shukenov, Renat Ibragimov, Vladimir Stupin |
Tovuti | r-rimbaeva.narod.ru |
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririRoza Rymbayeva alizaliwa mkoani Semipalatinsky mnamo tarehe 28 Oktoba 1957 kwa familia ya wafanyakazi wa reli.
Familia
haririMume — Taskyn Okapov (1948—1999),
Filmografia
hariri1976 — filamu ya televisheni «Первая песня» (Wimbo wa kwanza), studio «Kazakhtelefilm».
1982 — mwigizaji mkuu wa filamu ya Kisovyeti-Kicheki «До свидания, Медео» (kwa Kirusi) au «Revue na zakázku» (kwa Kicheki)[1]
2001 — filamu «Роза» (Roza), mwogozaji J. Sabirova
2002 — filamu «Хвост кометы. Роза Рымбаева» (mkia wa kometi. Roza Rymbayeva), mwogozaji A. Burykin (Urusi).