Bustani
Bustani ni eneo lililotengenezwa nje ya nyumba au jengo lingine kwa kupanda miti, majani na maua ili kulipendezesha na kulifurahia wakati wa kupumzika.
Pengine bustani linapandwa pia mimea kwa ajili ya mboga au matunda.
Tena kuna bustani ya wanyama ambao wanatunzwa ili watu waweze kuwaona kwa urahisi.
Bustani zilianzishwa zamani za kale.
Picha
haririMakala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bustani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu: