Ararat

kilele kikubwa nchini Uturuki

Ararat (kwa Kituruki Ağrı Dağı; kwa Kiarmenia Մասիս, Masis na Արարատ, Ararat) ni mlima mrefu (m 5,137) wa Uturuki wa leo.

Ararat ndogo (kushoto) na Ararat kubwa (kulia) kutoka Yerevan, Armenia.

Ni maarufu kwa sababu kadiri ya kitabu cha Mwanzo (Biblia) ndipo safina ya Nuhu ilipotua baada ya gharika kuu.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.