18 Agosti
tarehe
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 18 Agosti ni siku ya 230 ya mwaka (ya 231 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 135.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1916 - Don Keefer, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1932 - Luc Montagnier, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008
- 1952 - Patrick Swayze, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1958 - Madeleine Stowe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1964 - Jim Florentine, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 440 - Mtakatifu Papa Sixtus III
- 1227 - Genghis Khan, Mfalme Mkuu wa Mongolia
- 1276 - Papa Adrian V
- 1503 - Papa Alexander VI
- 1559 - Papa Paulo IV
- 1765 - Kaisari Francis I wa Ujerumani
- 1952 - Mtakatifu Alberto Hurtado, S.I., padre Mkatoliki kutoka Chile
- 1957 - Irving Langmuir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932
- 1992 - John Sturges, mwongozaji filamu wa Marekani
- 1994 - R.L.M. Synge, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952
- 2009 - Kim Tae Jung, Rais wa Korea Kusini (1998-2003)
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Agapiti wa Palestrina, Wafiadini wa Utica, Leo wa Mira, Helena, Firmini wa Metz, Eoni wa Arles, Makari wa Pelekete, Alberto Hurtado n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 18 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |